Yule Mbaya Lyrics By Otile Brown

Yule Mbaya Lyrics By Otile Brown | Daily Updates

Verse 1
Moyo Wangu Aliumiza Vibaya
Nanusurika kua Hai ,
Nanusurika kua
Kua Hai
Na Kidonda Ndugu Alionipa Kina
Maliza Tu Dawa Katu Hakiponi
Ooh Akiponi!!
Ila Kumuacha Ndio Siwezi
Moyo Umemchagua Yeye japo Najua
Hanipendi
Kua Naye Sitaki , Ila sina budi
Moyo Unamuitaji
(Nampenda Anajua ndio Mana Anajisheua
Moyo Una kina Kirefu
Kilichonieka Kwake ndo sijaelewa×2)

Pre-Chorus
(Aaghaaghaagh
Haya Mapenzi Hayana Macho
Aaghaaghaagh
Masikini Moyo Wangu kapenda Mahala sipo x2)
Chorus**
( Yule mbaya
Ndo nimpendaye
Yule mbaya
Ndio nimtakaye
Yule mbaya ndio nimpendaye
Nafsi Mtumwa wa Moyo x2)

Verse 2
Kweli Nafsi Mtumwa wa Moyo
Niliishia kumkumbatia nilipomfunia
wazi wazi na jamaa
Aliporudi nikampokea
ila akanizuga tena na tena
Mdomoni mchungu ila nimeshindwa kumtema
(Sipougenini ila ni kweusi
Anachothamini Fulusi
tatizo mimi mfupi
vyangu vyaliwa kichwani x2 )

Pre-Chorus
(Aaghaaghaagh
Haya mapenzi hayana Macho
Aaghaaghaagh
Masikini Moyo Wangu Kapenda Mahala sipo ×2)

Chorus
(Yule Mbaya
ndio nimpendaye
Yule mbaya
Ndio nimtakaye
Yule mbaya
ndio nimpendaye
Nafsi Mtumwa wa Moyo ×2)

t
Best singer in 2017?

No comments

Powered by Blogger.
Loading...