Njia Lyrics - King Kaka Featuring Bridget Blue


Njia Lyrics - King Kaka Featuring Bridget Blue
King Kaka has a new emotional song out featuring Bridget Blue. Here are the lyrics and the video to the song. Enjoy.

 (King Kaka Verse I)
Uuuh..waaaa..uuuu.
Nimegrow Empty oflate na my soul ni see through
My mom is still sick ikifika usiku
Phone iko by my bedside just in case
Na honestly na miss our Happy Days
You are a fighter mom manze God akubless
As much as me ni big boss,na learn
Usiku uwa na Toss and turn
Na ukifeel pain,uwanga naifeel pia
Saa zingine ata Hope inadidimia
Hakuna story ya man hapa, manze mi ulia
Na kama science inapeleka wasee uko kwa sky
Kwani dawa ya mother ndio mmeshindwa kuwai
Ata nimechukua car keys,Ma niko kwa ndai
Na God sikuquestion najua wee ndio answer
Lini miracle itaanswer

Chorus(Bridget Blue)
Nipe jibu kama baba unanisikia
Na kama unanisikia
Nionyeshe ile njia mi nitapitiaaaaa Swale..
Nina Maswale Swale ..
Nina maswale

(King Kaka Verse II)
Okay.. Nimegrow Empty of late na my soul ni see through
Hii safari bila taa ni Kama misitu
Ulisema you are the way,the truth the life
Macho yangu iko Kwa sky,nionyeshe ata ka light
I am not questioning sijai kudoubt kabisa
Niliambiwa student mzuri ni maswali atauliza
How comes mom anaugua hizi miaka zote?
How comes mom haponi na hizi dawa zote?
Na hawa madaktari wananitake in circles
Sijaweka imani kwao,nimeweka imani kwako
Sometimes Niko impatient juu wee uko on time
Labda sijafikiwa request iko Kwa line
You have shown me before,show me one more time
Umenibless sikatai lakini vile mom anaugua haifai

Chorus(Bridget Blue)
Nipe jibu kama baba unanisikia
Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia mi nitapitiaaaaa
Swale..
Nina Maswale Swale ..
Nina maswale

(King Kaka)
Unajua..
Najua God umenibless and I’m not eti eti nakuzushia or anything
Sikuzushii manze Najua this is a song nafaa nirhyme and all
But I feel..
Nataka tu tuhave a one on one yani
And I’m not..
I’m not being ungrateful yaani
Ndio wasee wanacheki life yangu and they see I have a beautiful family nini
Ai..but God please
Manze ata Kama ni test it’s enough yani,si wee ndio the answer
Hii test umenipea ni Kama nimefail yani,wee ndio the answer
Please please..
tafadhali..
please manze
Uuuuuhhhh—-yayayaya
Uhhhhh..
yayaya

Chorus(Bridget Blue)
Nipe jibu kama baba unanisikia
Na kama una-ni-si-ki-a
Nionyesheee ile njia mi nitapitiaaaaa(yeee)
Nipe jibu kama baba una-ni-skia
Na kama unanisikia ni-o-nyesheee ile njia nitapitiaaaaa

Send tips, business inquiries and all else to dailyupdateskenya[at]gmail.com

No comments

Powered by Blogger.
Loading...