Acha Waseme Lyrics | Otile Brown

Acha Waseme Lyrics | Otile Brown

Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni mola lazima ntapata×2

Bwana Shetani muongo , muongo we!
Mbona umejawa na kinyongo ndugu we!×2
Bwana niambie x3 wapi nilipokuudhi naomba uniambie
Mana sio sawa kama we wanichukia , nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio yangu , wakati mimi nakuombea mema,
Waniwazia mbaya ooh sio sawa ooh so sawa

Pre- chorus
(ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu ×2

Chorus
Wacha waseme , Acha waonge ×2

Wewe unanichukuia ata zaidi unavojipenda , unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema
Chochote nachofanya unanielewa makosa chochote nachofanya unanihukumu vibaya
Wapi nilipokukosea ningependa unieleze
Wapi nilipokuudhi ningependa uniambie
Mana sio sawa kama wewe wanichukia ,
Nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu wakati mimi nakuombea
Meme , waniwazia mabaya ooh so sawa

Pre Chorus
Ooh dhamira yangu , ndo nguzo yangu
Ooh wema Wangu ndo nguzo yangu ×2

Chorus
Acha waseme , achawaongee×2


This man is probably the best singer in Kenya.

No comments

Powered by Blogger.
Loading...